Gari nzuri sana engene 1hz ila gear box ni automatic full file full document gari ipo dar
Gari ni nzima ila haijatembea muda mrefu, inahitaji ukarabati kidogo kuangalia engine ila body iko sawa haina changamoto
Nissan civilian daladala gari nzuri ina marekebisho madogo ni seat haziko vizuri ila gari ipo vizurii karibu ununuwe gari asante
Gari nzuri sana,TAIRI MPYA,haijapata ajali,open roof rear camera,android music system,subwoofer. *Msg zitasomwa ila hazitajibiwa,piga simu
Toyota passo piston 3 cc 990 full ac full documents nzima kila kitu ila haitembei gear box mbovu price 3m
Wale wote mliokuwa mnaniuliza canter hio hapo sasa bado mpya numba DY. Bei 30mil Location Mbezi mwisho ila iko barabarani inapiga kazi
Gari nzuri ila haijafanyiwa service tokea itolewe bandarini,
Gari nzuri makosa madogomadogo yapo ila yanatibika bei 11 cash
Toyota ipsum AC haina ila ni yakujaza huteseki Hamna kipengele zaidi
Suzuki escudo bado iko vizur Ila body TU yakushi shika ndani Ina itaji usafi Ina full document
Fuso mgnon ziko mbili kwazote milion 50 ziko dar hivi ila pembeni kidogo ila dar.
Hii alphadi ni nzuri sana haina tatizo lolote ila ni ya kurudia rangi tu ila bodi ipo safi kama inavyoonekana gari enge ipo vizuri sana
2NZ ndo iliopo uku ndani imetulia body mpya cc 1290 engine safi njoo inbox{phone=0622877250} huna aja ya kukagua ila njoo ujiridhishe
Gari ina mikwaruzo kidogo tu ubavuni kwa mbele Kama itavyoonekana kwenye picha ila haina shida nyingine yoyote
Hii Scania Ni Double Diff Japo Ametoa Utumbo Wa Diff Moja Haifanyi Kazi ,Ila Inawaka Kila Kitu Kipo Sawa Bei 20m Chap DSM Robar WhatsApp
Inalengeshwa grand mark !! beams 2000 full ac full document new tyre gari imekaza chini power steering inavuma ila laini 3.5ml posho laki 2 dodma town garu ya
FLATBED trailer kama ilivyo... imepicha channel za pembeni ila chases imenyooka... bpw
Mercedes benz haina ac ila vitu vingine vyote vipo poa manual well maintained
Hii gar ni nzuri sana, imekwaruzwa na piki piki ubavuni pia imepasuka kioo. Huo ndo uzaifu wake, ila haijaguswa njini na iko saf sana.
Toyiota costa box 1hz engine Gari ina waka na kutembea ila unahitaji matengenezo kidogo ya bodi kama inavyo onekana , dereva ameshindwa kuleta hesabu ndiomana