Gari inahitaji rangi kiuno,ila imenyooka sana,fullAc, haijafanya daladala.
Nissan civilian 2007,Automatic,seat 29 namba za usajili T844EDX,inatumia Disel,ipo maegesho haijatumika kwa hapa Tanzania,bei 60000000,ila kuna maelewano kwa
Toyota Hiace new model. Inauzwa kama ilivyo ila kitanda kinatolewa. Karibu sana
Toyota prado engine 1kzd diesel gari haijarudiwa rangi popote full ac full documents full accessories body mpya engine mpya tairi zote mpya usajili wa zaman
Engine N/A Gearbox Manual Mileage 80,000 km Year 2016 Color Blue Body Type 4 Wheel Drives & SUVs Fuel Type Petrol Air Con Yes Drive Type Right Condition Used
Onsale subaru forester sf 5 reg number ... cnj manufacture year 2000 engine code ej20 full document full insurance *price tsh 4 million* Marekebisho kidogo ila
Chuma zipo mbili zenye rangi moja hazina kipengele ni maamuzi yakubadilisha biashara kwa sasa zipo kazini bei moja Tsh 15,000,000 ila bei ya mwisho unayo wewe
Ina engen ya 4d33,tone 2,ina tyre zote mpya,ina mda mchache tangia imesajiriwa! Bei ya sasa ni maongezi kidogo ila showroom imenunuliwa
Nissan civilian mayai Gari nzuri sana Engine nzuri Gear box safii Haijarudiwa rangi No C ila ni zaidi ya no D Haijawahi tumika kama daladala Ipo katika hali
Coster haijawahi fanya daladala ni namba c ila ni zaidi ya namba d kwa ubora engene 1hz manual full file gari ya muhindi imepaki tuu
Gari nzuri xan haina changamo yeyote ila gari ni mpya
Escudo engene safi gear box safi ila body ni yakuweka sawa pia rangi ila imekaza balaa
Gari ipo vzri haina disha yyte ile ila standard...
Maelezo ya hii gari ,ina waka engene safi gear box safi hii gari ni model ya muingereza walivyotoa betry imepoteza kumbukumbu inabidi waiprogram tena upya ndo
Gari ni nzur sana,usajiri ni #B ila ni kama namba D,cc 1990,7 seat, interior leather,full ac,haina changamoto yeyote
Gari ina changamoto ya sensa ila inarekebishika
Toyota hilux 2.8 gari nzuri imepauka tu ila body kali sana injin safi
Gar ipo dodoma mjini haina changamoto yoyote ni namba C ila kali kuli namba D yako engne 2NZ cc 1290 mafuta kidogo unafika kwak
Hii gari inahitaji rangi ila ipo sawa engene safi gear box safi ac yakujaza safari popote full file
Toyota vits old model Cc 1290 Body haijarudiwa rangi ila kwenye bampa kidogo Gari ni nzuri Price 7.5ml Rim sport Android Tv Alarm system.