Gari bado iko safi ndani na injini ila inahitaji marekebisho madogo madogo
Nauza Mazda Demio.Gari imefika toka japan.=pamoja na usajili.Gari ipo Tanga mjini ila maongezi yapo kidogo kwa mteja aliye serious tu Mawasiliano :
Gari ipo dar,gari ni nzima ila inahitaji maboresho kwenye cabin. bei 41,000,000/= fixed(bila punguzo)
Gari ni nzuri iko Bariadi ila inaletwa Mwanza muda wowote, karibu tufanye biashara
Nauza Nissan Murrano .Gari ina hali nzuri sana kama unavyoiona kwenye picha.Haijawahi kupata ajali wala kusumbua chochote,muda mwingi imepaki tu nyumbani.Bei
Nauza Nissan Murano.Gari ina hali nzuri sana kama unavyoiona kwenye picha. Haijawahi kupata ajili wala kusumbua.Muda mwingi imepati tu nyumbani. Bei
Gari imesharudiwa rangi ila bado ipo kwenye hali nzuri
Gar iko vzur sana shda ni mafuta na betr ila inatembea
Ist hii niko nayo mwanza ila inaweza kuletwa popote Tz
Gari n nzur imerudiwa rangi cyo kwa ajali ilipauka ila gar aina shida yoyote full ace full document ninayo ofisin kwangu piga simu muda wote
Hii rosa engene foem engene yake ni yakuweka mswaki ila gari ni nzuri ukiweka engene ni gari nzuri haijawai kwenda bodi ipo hivyohivyo
*audi a4 (2010) sline edition cc 1984 namba d fuel petrol showroom 36m ila naiuza 25m tu kilometers: 76,000 elfu tu gari nzuri sana na mpya
Maongezi yapo ila tuongee ukiwa kwenye gari KARIBU
Hii gari nimeiuza na hapo nilikua naiendesha kutoka njee kidg na jiji la mwanza pale usagara kwa jili ya kuipakia kwenda kwa mteja Dodoma pia hua tunaziendesha
Engine safi gear safi njoo ukague ulizike nisemacho nichek{phone=0768649608} nifatilie instagram kama JACKTAN_SAFARI kwa machaguo zaidi gari ipo mwanza ila
Niombe picha nikupe ukague vizur Ila Gar Kali tuache unafki.
Costa mayai ndefu gari inahudumu staff seecliff haina shida yeyote ila inahitaji vimarekebisho vidogo vidogo ina full file na mmiliki ni mmoja wewe hapo ndio
Costa mayai ndefu injin 1hz manual gari nzuri inadai marekebisho kidogo kwenye bodi kushikashika ila injin swafi
-Changamoto ya Engine inatembea,ila utatakiwa kuibadili haina tatizo lingine,mtumiaji wa kwanza ni mie na inamuonekano poa na ina document zote, Offa yako
Carina 9m{phone=0628737903} slide ya mwisho ist pia ipo ila ipo hapo kimakosa