Toyiota costa box 1hz engine Gari ina waka na kutembea ila unahitaji matengenezo kidogo ya bodi kama inavyo onekana , dereva ameshindwa kuleta hesabu ndiomana
Usajili #B ila ipo vizur sana, haina changamoto
Toyota Ist kali sana namba C ila garii imetunzwa sanaa
Toyota passo cc 990 piston 3 gari ni nzima ila inatoa vimoshi moshi low fuel consumption price 3m (fixed price) call
Kluger namba B ila kma namba D namaanisha, gar haijawahi kurudiwa rangi hataa bumper* *Engine ndgo* *2wD* *Mileage 110k*
Vitz RS picha ndio mbaya ila gari ni nzima. haina AC
Toyota harrier imenyooka haina kipengele engine tu ndo six gari haina kipengele ila
Mitsubish Fuso Fighter Tani 4. ila Inabeba Tani ata 10 Engine: Seventeen. 7ntini. Gear; 7
Gari ni nzuri muonekano wa nje kama inavyo onekana ila injini ndio sio nzima
Gari hii imewasili toka japan september 2022 ila nimepata dharura naiuza . gari bado mpya kabisa
Toyota LiteAce pick up kama mpya, gari imesajiliwa ila haijatumika TZ.
Haina tatizo zaidi ya kujaza gesi bhasi ila compressor nzima kabisa na unaenda kokote gari hii ml 2.3
Land cruiser prado tx, imesimama hii, haina kipengele ila ni manual
Toyota Hiace ya Petrol inapatikana hapa jijini Mwanza. mashine zake hazina tatizo ila rangi ya kurudia. engine ni 1RZ
Gari bado mbichi, ukiwa mita moja husikii kama iko on. Bado naipenda sana ila nataka kupanua biashara yangu. piga Simu kama unafika bei.
Akajaoga tuu ila kako na good condition you can come and check
Mercedes benz on sale ##dmr horse for sale gari zipo mbili hazina changamoto yoyote kila moja inauzwa zinapatikana tabata ila zinaendaga
Subaru imprezza sti cc 1990 kuna kelele zinatoka kwenye engine ila sio sana price call
Kipengele ni gia haibadili ila vitu vingine vyote fresh safari popote
Mark x cc 2490 plate no ni A ila utunzaji wa D ipo mbeya call