Toyota vits old model Cc 1290 Body haijarudiwa rangi ila kwenye bampa kidogo Gari ni nzuri Price 7.5ml Rim sport Android Tv Alarm system.
Toyota nadia injin 3s full vibali changamoto ni chache sana ila ni zakawaida kwa gari ya mkononi ila c injin wala gea box
Toyota hilux injin 2l hilux 2.8 full vibali 4wd injin 2l used japan diesel ndani safi kabisa maongezi kwenye gari kipaa kimepauka tu kimepigwa na jua ... ila
Premio X smart sana Engine 1ZZ Cc 1780 Engine safi 13KM kwa lita Kuja na fundi ni haki yako ila sio lazima, gari haina tatizo
Alphard white smart sana Engine 2AZ CC 2360 Full AC Gari hii unaenda safari popote muda wowote, kuja na fundi ni haki yako ila sio muhimu, gari haina tatizo
Gari ipo njiani beba fundi wako panda hapo njiani isikilize, gari ni langu mwenyewe toa taarifa tumuandae dereva kisaikolojia wewe panda ikibidi asijue ili
Toyota coster Engine 1HZ Price m16 Gari inataji marekebisho ya seat na yaku piga rangi upya ila injin gear box na vitu vingine vipo sawa...
Crown athlete safi, haina changamoto yoyote, lipia bei elekezi gharama za usafirishaji zibaki kwetu. Kukagua na fundi nihaki yako ila sio muhimu sana.
Harrier model 2004, iko smart sana, low milage. Gari ya nyumbani tu. Kukagua na fundi ni haki yako ila sio muhimu kwa gari hii
Car for sale/gari inauzwa make:toyota model:carina engine type:5a engine engine capacity:1460cc year of man:2001 fuel type:petrol gear type:automatic
Toyota Allex smart sana ya kwako leo. Wahi ukague ulipie. Safari popote. Haihitaji fundi kuikagua iko vizuri, ila kuja na fundi ni haki yako ukitaka
Rumion smart sana, haijatumika TZ ila imesajiliwa. Kila kitu kinafanya kazi. Kuja na fundi ni uamuzi wako ila sio muhimu, gari ni mpya sana
Crown athlete ya mwendo,Engine ndogo, haina changamoto yoyote, unaruhusiwa kukagua na fundi wako, ila sio muhimu sana gari ni mpya.
Gari ni urithi kabisa bei ni hio ila maelewan yapo
Toyota Spacio New Model haina tatizo ila few dents inahitaji bei nafuu mno
Nissan march 2004 cc 1490 petrol automatic ac good condition mp3 player Gari ipo vizuri sana ila inaitaji kurudiwa rangi tu
Gari imekufa Control box ila ni nzima na inawaka endapo battery ikiwekwa
Gari ni namba C ila ni kama limetoka Japan juzi
Nissan xtrail Cc 1990 Well maintained Gari ni nzuri ila kipengele ni kuwa steering ni ngumu Full ac
Ebwana sisemi kitu ila gari imenyooka sana sina chakusifia ipo mwanza cc 2490 njoo lipia katumie