Gari bado iko safi ndani na injini ila inahitaji marekebisho madogo madogo
Hii gari mpya ila camera iliyopigiwa sio nzuri imefifia. cc 1990 engine new model 2010 yom bado mpya
Gar iko vzur sana shda ni mafuta na betr ila inatembea
Ist hii niko nayo mwanza ila inaweza kuletwa popote Tz
Gari n nzur imerudiwa rangi cyo kwa ajali ilipauka ila gar aina shida yoyote full ace full document ninayo ofisin kwangu piga simu muda wote
*audi a4 (2010) sline edition cc 1984 namba d fuel petrol showroom 36m ila naiuza 25m tu kilometers: 76,000 elfu tu gari nzuri sana na mpya
Maongezi yapo ila tuongee ukiwa kwenye gari KARIBU
Hii gari nimeiuza na hapo nilikua naiendesha kutoka njee kidg na jiji la mwanza pale usagara kwa jili ya kuipakia kwenda kwa mteja Dodoma pia hua tunaziendesha
Engine safi gear safi njoo ukague ulizike nisemacho nichek{phone=0768649608} nifatilie instagram kama JACKTAN_SAFARI kwa machaguo zaidi gari ipo mwanza ila
Niombe picha nikupe ukague vizur Ila Gar Kali tuache unafki.
Costa mayai ndefu gari inahudumu staff seecliff haina shida yeyote ila inahitaji vimarekebisho vidogo vidogo ina full file na mmiliki ni mmoja wewe hapo ndio
Costa mayai ndefu injin 1hz manual gari nzuri inadai marekebisho kidogo kwenye bodi kushikashika ila injin swafi
-Changamoto ya Engine inatembea,ila utatakiwa kuibadili haina tatizo lingine,mtumiaji wa kwanza ni mie na inamuonekano poa na ina document zote, Offa yako
Carina 9m{phone=0628737903} slide ya mwisho ist pia ipo ila ipo hapo kimakosa
Gari ilifanya kwenye mradi hapa jijini imetumika vizuri marekebisho madogo hutokosa km ujuavyo gari ya mkononi ila haikuzuii wewe kununua hii chuma
Gari ni mpya ni kuwasha na safari Njoo ukague nipo na gari 24hr Aina changamoto yyte Bei 12.3 ila tunaongea kufika lengo
Nauza Toyota Vitz.Ipo kwenye hali nzuri sana,Haijawahi Rudiwa Rangi wala kupata ajili Bei 6,500,000 ila maongezi yapo kwa mteja aliye serious tu. Mawasiliano .
Gari ni kama mpya inamilikia na mwanamke, ina miaka miwili toka inunuliwe na mda mwingi inakaa nyumbani. Bei yake ni milioni 14 ila maongezi yapo. Haina
Hii alteza full ac full document body ina seem chache za kurekebisha ila haijawai pigwa rangi na haina ajali yoyote
Rav 4 killtime (avt) cc 1790 full ac full document gari engine ni mpya ila imepigwa rangi smart sana washa uende