Mark x cc 2490 plate no ni A ila utunzaji wa D ipo mbeya call
Mark x cc 2490 plate no ni A ila utunzaji wa D ipo mbeya call
Toyota coaster box body engine 1hz manual transmission gari ipo chanika inaitaji finishing ndogo ndogo ila inawaka mf;wiring,matairi,vibali
Nimewaletea harrier tako la nyani cc 2360 yani ukikohoa tu unajikuta chalinze gari ni nzuri (ila macho yanatofautiana)
Gari nzuri haina ajali ila imerudiwa rangi mkono mmoja ilipauka tu ila haina ajali
Allex ipo Mwanza na bei yake ni nafuu mno. wahi mapema, haina tatizo ila ni ya kurudia rangi tu.
Boss nashida ya haraka niletee ofa ntapokea tu ila iwe nzuri
Gari ilishafanyiwa marekebisho ya Engine shaft na main & corn lakin inawaka na kutembea vizuri tu,chini inagonga miguu ya mbele,ac haina,ila vingine ni
Haina shida yoyote ila wewe piga tu utatupata ipo clean ... ac ya kujaza
Gari haina tatizo lolote, ila imerudiwa rangi haijawahi pata ajali yoyote. Nipigie kwa maulizo
Gari ni nzuri ENGINE gearbox ila ina ajali ubavu wa kulia uje ukijua usije na offer ambayo ata mm naeza kupa io ela
Landcruiser V8 inainjini ya 1hdt fte,inaitaji marekebisho madogo madogo ila inatembea.narudia engine ni 1HDT - FTE
Toyota Prado Tx Full document Engine 1kz Fuel Diesel Year 1996 Inalengeshwa 9 ml maongezi yapo Simu Moja Tu Napiga Gari iliwahi kugonga ila inapoga kazi vizuri
Cresta gx100 Bei million 3.5 Engine beams 2000 Full ac Ipo dar es salaam, kijichi Haina kipengele ila bima haipo{phone=0784020604} NB: offer za simu sitaki
Toyota rav4 gari namba A ila imenyooka vibya njoo kagua gari ujiridhishe haina changamoto
Toyota Coaster Engine 1hz Jiko kavuu limekaza mbaya Bei Imeshuka sana sasa ni 15.5mil wazee ama uza nuu ila mwenyewe anataka 15mil tu. Gari naimudu naongea na
NAILENGESHA PRIMIO F bei 7.9mil Cc 1490 Location sinza Full Ac Price 7.9mil njoo uvuruge ila usisaha box 4 No kipengele
Full Ac imetembea ila bado nzima aina shida yoyote
Toyota hilux no. ctz gari imetunzwa sana haina kipengele kabisa injini safi giabox safi ac safi bodi good bei 28ml maelezo zaidi soma kwenye kadi gari
Toyota Yaris Engine 2NZ CC1290 FullAC Full File Bado mpya Lipia ifike popote, kukagua na fundi ni mapenzi yako ila kwa gari hii hakuna ulazima