*toyota dyna* engine 14b diesel manual transmission haina changamoto bei mil 10.5
Gari ya kazi Nzuri kubebea mizigo ya kila aina
Gari ni nzima, haina shida yeyote ile... kila kitu kinafanyakazi vizuri... the car is well maintained, everything functions well...