Gari ni nzuri inatembea matumizi ya apa apa mjini toka nyumbani kwenda kazini engine gearbox zipo sawa safi sana
Engine N/A Gearbox Automatic Year 2008 Color Other Body Type Wagon Fuel Type Petrol Air Con Yes Drive Type Right Condition Used Njoo apa nipo na boss hupasuki
Gari ni mpyaaa kabisa njoo nipo zangu na boss apa
Hii Apa Tena Kutoka Fembe Dream Motors Nissan Dualis Yamoto Kabisa imenyooka haina kipengele
Hii Apa Nissan dualis Gari nzuri kabisa safi nje na ndani Full Ac Full music sound
Hii Apa Tena Kutoka Fembe Dream Motors Nissan Dualis kali sana haina kipengele Full Ac music Sound Full File .
TOYOTA WISH cc 1990 engine ni nzuri inamudu mikiki ya rafu road kwa sababu hizi wish zimeletwa kwa ajili ya hiyo, kwa ajili ya watu wasafari ukiwa na familia,
Ile nissan pick up unayotaifuta hii apa sasa ikiwa na qualification zote unazotaka nissan j85 pick up for sale cc 2953 fuel diesel manual transmission ingine