1900 Ddi turbo Reverse camera Full Documents
*Isuzu injection bowzer IPO saf Bei ml 21 gari ni ya kuwasha na kwenda site kimbia mbio upate gari * Matt
Gari imenyoooka sanaaaa haina shida yoyoteee. kipengele ni hela tuu.tajiri ana shida na hela.bei ni 22M tuu
Cabin isuzu ftr engine ya fuso 6d17 in giod condition iringa fxed bei mil 26 tshs only
Gari nzima, tayari kwa kazi, zipo tatu. bei ya zote nipigie kwa maelewano.
Gari ni zima , kutest unaruhusiwa , ndinga ni ya kuwasha na kuingia nayo road tuh . Karibu