Infiniti a.k.a Nissan Fuga New model inapatikana mwanza kwa bei nafuu. Hii ni hybrid inatumia umeme na kujichaji yenyewe.
Infiniti mwaka-2011 cc-3490 engine type -hybrid features zingine-full options and well maintained sport rim side mirror camera and back camera full sound