Gari hii iko katika hali nzuri issue yake kubwa ni kioo cha mbele kina crak ndogo na lock zake haziingii automatic zinaingia manual na chengine ni kawaida gari