Allion gari nzuri sana Nauza kwa bei safii Fika ofisini
Mercedes benz C Class Reg DH Full Ac Full Documents Gari opo safi sana Maelezo mengi fika kwenye eneo la kaz
Toyota vittz rs y.o.m... 2005 color gray engine 1nz cc 1490 automatic transmission android screen full documents maongezi yapo fika kwe gari gari ipo sinza
Noah sr40 ya 2wheel mtiii balaaa hyoo inatakiwa m12.8 wazee ndani gari kaliii Sanaa imekaza Kila idara full ac full document no kipengele nichek chaap
Noah sr40 ya 2wheel mtiii balaaa hyoo inatakiwa m12.8 wazee ndani gari kaliii Sanaa imekaza Kila idara full ac full document no kipengele nichek chaap
Gar aina shida yoyote ninayo ofisin muda wote unaweza fika ofisin kwa ukaguz zahid au ukatuma mtu ajilidhishe
Good running condition,gari ni ya masafa na kazi, pictures zote ni za mikoa ilipo fika na kufanya kazi,2490 CC, Toyota progress ipo Dar es salaam
Prado mchaga engine 3rz petrol hyoo boss anataka m23.8 wazee ndani gari kaliii Sanaa imekaza Kila idara full ac full document no kipengele nichek chaap
Toyota Avensia hyoo cc1700 Inatakiwa gari kaliii Sanaa imekaza Kila idara full ac full document no kipengele nichek chaap tuimalize cm Moja Kwa boss hakuna
Gari ni nzima iko ubungo . haina neno fika kagua lipia kajaze ac kwisha mchezo
Naitoa prado 150 mwaka 2017 gari bado mpya bei ml 120 posho mlima piga simu gari ya apointment hii usikurupuke sio vitz hii nb: 2024 hatutaki maswali, fika kwa
Gari nzuri sana aina kipengele chochote fika kwenye. Gari
Gari nzuri ipo songea mpitimbi gearbox mpya sound booster fika tuongee biashara
Toyota Ist Full ac glai nzuli sana haitaji maelezo mengi fika kwenye gari ukague tuzungumze Cc 1290 {phone=0684259653}
Gari nzuri san... diesel auto fika ofisin ukague
Tako la Nyani namba DZ ipo kwangu mda wote. tutaikupa na ofa juu fika ofisini kwetu.
Gari iko dar es salaam showroom inaitwa dunia commission agents... magomeni mwembechai... instagram tunajulikana kama: dunia_commission_agents tufollow ili
Gari kali sana haina shida yeyote fika na fundi wako akague wakati we unakunywa juice pembeni
Gari kali sana haina shida yeyote fika na fundi wako akague wakati we unakunywa juice pembeni Haina udalali ukija na dalali mlipane hukohuko gari la kwangu
Toyota LandCruiser Prado TX Year:2007 EngineCC:2698 (2TR-FE) Low Mileage Transm:Automatic Fuel-Petrol Leather Seats Gari ni ya Kuagiza Malipo ni kwa