1hz, coaster box bado mbeliich snaa bei 26milion,
Toyota COSTAR mwaka 1997 Eng 1HDT Cc 4160 Full document Gia box manual Bei 40m Location tanga
Toyota coaster box gari imetunzwa vzr saana
Cost NO DTT 1hdt engine 24valve Umeme Automatic gear box Ndefu seat28 Full ac Haina kipengele Bei mil48 chap{phone=0692910023}
Coaster box engine 1hz bei 32 mln gear box fresh engine fresh njoo na fundi chuma imesimama
Toyota coaster mayai Gari nzuri sanaa Engine safii Gear box safii sana Haijawai kuwa dalala Ni no C zaidi ya D
Costa registration no EAQ engine 1hd gear box manual IPO full document location dar
COASTER BOX Engine 14 B Gar kali sana Haijawahi kufanya kazi ya daladala Bei million 17,5 maongezi kwenye gar Call
Costa box injin 14b full vibali gari ipo njiani njoo kagua bei inamaongezi
Toyota coster box Engine diesel 1HZ Price milion 38
Coaster Box Engine 1hz Manual Gear Full Documents Bei ni 37M{phone=0718594679}
Coaster mayai engine 15b gear box na engine viko poaaaaa njoo na fundi ukague mtambo huu
Coaster box hiooo... imenyoooka full ac njoo kagua gari lipia engine 1hz gari ina turbo ya kwendaaa popote safari. whatsapp{phone=0693070610}
Toyota coaster chasses number year 2000 full ac gear box manual engen capacity 4160 engen code 1hz clean condition price 70 millions plus registration
Toyota coster Engine 1HZ Price m16 Gari inataji marekebisho ya seat na yaku piga rangi upya ila injin gear box na vitu vingine vipo sawa...
Toyota coaster Box Mileage 77619 Engine 1HZ Model 2003 Engine capacity cc 4163 Colour white green Transmission manul gear Fuel diesel Full document Accessories
Toyota costar mwaka 1993 cc 4160 engine 1HD1800 trubo full ac full document gar box manual siti 26 location dar es salaam
Coaster box 1hdt manual, ipo fresh haina maneno,njoo kagua na fund wako location dar
Toyota Coaster Box, ziko 2, DKN engine 1hz na DPC engine 12HT Bei 25M kila moja
Engene 1hdt auto gear box gari ni mpya sana haina shida yoyote gari ya kazi sana hii