Fembe Dream tunakuja na Hii nyingine kali Kabisa Toyota coaster kali Kabisa wahi chap tufanye biashara
Grade: bus model code :hdb50_ body type: bus drive type: 2wd exterior color: white and pink interior color :off white doors: 2 seats: 29 steering :right hand
*toyota coaster mpya (chassis) inauzwa* *bei/price:- 75 mil* *maongezi zaidi njoo kwenye gari* *engine:- 1hz* *fuel used:- diesel* *engine capacity : 4200cc*
Toyota Coaster Mwaka 1999 Engine 1HZ Fuel Diesel Manual Good Condition Location Dar
Costa yai injin 14b full vibali gari imefungiwa ndani tu
Costa mayai injin 14b gari ndefu na rut safi hiyo gari huwa aziumii
Toyota coaster registration:- dp engine:- 1hdfte engine capacity:- 4100cc 24valves 6gears fuel used:- diesel transmission:- manual seating capacity:- 29 full
Toyota Coaster Imported from Japan Mwaka 1996 Cc 4160 Engine 1HZ Diesel Engine Price 75M Plus Registration
Coaster mayai diesel year 1999 full document
Coaster #DS MiL 32 Engine 1hdt ManuaL Gear Haina Shida Yoyote Location Airport Dsm Simu Mojaa Hupasuki. tussu_motors on Instagram
Imeshuka Bei Costar hiyo Full Ac kama unavyoiyona nauza milion 50 maongezi kwenye Gari Gari ipo Bunju karibu sanaaaaa
Tunaendelea kukupeni madini coaster box hiyo,, engine 4tin b, bei million 19mil ,,gar kama unavyoiona imekaza,, location by
Coaster mayai engine 1hz imenyooka sana na safari popote iko kazin kila siku haina kipengere
Toyota Coaster## DRV Engine:- 1hz Transmission:- Manual Seating capacity:- 28 Haina changamoto yeyote ile
Costa Mayai Hii ni24Valve yaCable 1hd _Ft engineENGINE Manual Gearbox Ndefu seat28 Gari Yakanisa kali sana Bei mil45 chapu Gari Ipo Mbagala Simu1 KwaDereva
Coaster mayai engine 1hz gari imesimama sana njoo na fundi wako ukague safar popote hii loc mbezi mwisho
Coaster mayai engine 14b location mbezi mwisho njoo na fundi wako akague
TOYOTA COASTER Year 1998 CC 4660 Engine. 1HDt Full documents Full Air condition Auto transmission In Perfect condition With 28seats capacity Karibu Carrington
Gari zuri, iko barabarani haina shida Karibu
Toyota coaster iwahi... gari iko vizuri sanaa