Gari ipo vizuri ni mpya bei ni plus registration ni Injection imenyooka sana ina km 41000 ni ya mwaka 2002
Suzuki Carry 2009 Model, In very Good Condition, One Owener, Aircondition, 4X4, Power Steering, New Tyres
*Suzuki carry* Year of manufacture: 2000 660cc 4wd Manual 13.8M with registration
Suzuki carry Year 2002 Full doc Price 3M
Suzuki carry kirikuu kinanda kichwa kidogo bei cheeee
Gari nzuri sanaa haina changamoto yeyote unawasha nakuondok safari mkoa wowote bei poa sana mwenyewe anashida ya pesa, iwah full docment
Kigari kizuri hata kwa kina mama vile hawawezagi manual hiki ni auto kipo gudi chases na injin
Trailer Tipper Inauzwa In Hali nzuri Sana
Suzuki Carry injection Year 2004 EngineCC 650 Low Mileage Transm Mannual Fuel-Petrol 4WD Price 14,500,000/= Pamoja na Usajili
Suzuki cary gari nzuri sanaa yakuwasha nakuondoka safari popote gari imara sanaa full docment ya kwangu haina udalali bei rahisi sanaa,
Suzuki Carry ipo vizuri sana na inafanya kazi, Gari ipo Kariakoo. Karibu uikague tufanye biashara
Gari ni Manual, imetunzwa vizuri sana
Haina kipengele unawasha na kuondoka
Y'all welcome, the car still in a good condition...
Y'all welcome, the car still in a good condition...
Carry Mayai(Bichwa ) ipo sokoni gari ipo kwenye hali nzuri serious buyer karibu,Haina Dalali mmiliki ndio muuzaji.
Suzuki carry safi sanaa... injection... iwahi
Suzuki Carry iko vzr sana haina changamoto yeyote hakana shida yakuwahi hakichemshi wala nini
Suzuki Carry iko vizuri mno, gari haina changamoto. Karibu uikague tufanye biashara
Cc 660 manual gear white color