Gari bado ipo kazini na haina matatizo makubwa ya kiufundi zaidi ya mambo madogo madogo
Inapatikana Njombe mjini, ni gari imara ambayo bado inatembea.
Gari bado mpya na haina tatizo lolote. Haijawahi funguliwa engine
Gari bado ipo katika hali nzuri, Haijawahi funguliwa chochote. Bei majadiliano
Ipo kazini muda wote na haina tatizo lolote
Gari bado ipo katika hali nzuri. Inapatikana njombe mjini
Gari ambayo inafanya kazi. haina kipengere chochote uje na fundi ukague
Ipo katika hali nzuri na haisumbui chochote. ipo kazini mpaka muda huu